Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kila jambo tunaloliona kwenye ulimwengu wa leo lilianza kwanza kwenye fikra. Mwanariadha hawezi kushinda kama hawezi kufikiri na kujiona kuwa mshindi akilini mwake kabla ya kuanza mbio; kadhalika mtu mwingine yeyote hawezi kufanikiwa ikiwa hatoona lile analotaka kulifanya au kulifanikisha akilini mwake kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…