Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20190604_164134_072.jpeg
 
Msikiti wa Ijumaa Kitumbini unakarabatiwa, kwa sasa tunatumia msikiti wa Sunni na Ibaadhi yote palepale Moscow st
Umepiga mulemule jirani. Shukrani sana, nitakaribia. Tutaanza na chai kwa egg chop pale U-Tea Shop. Huo msikiti siyo mdogo jirani, kwa nini isiwe kwenye Msikiti wa Ijumaa pale Kitumbini? [emoji1]
 
Back
Top Bottom