Ahsante sana.Karibu nyumbani Bradha
Kwa Mtogole mzee baba Ukifika ile namba yangu nipigie nije kukuchukua hapo StendiAhsante sana.
Kama unafanya utani mimi nilikua sitanii, tupeane maelekezo ya kufika tuu sasa 😀 😀 😀 😀 😀
Poa, ntapita kwenye saa tisa tisa.Kwa Mtogole mzee baba Ukifika ile namba yangu nipigie nije kukuchukua hapo Stendi
Nitafurahi Sana Ukifika nyumbani.Poa, ntapita kwenye saa tisa tisa.
Mkuu kama unapata mambo yetu karibu sanaSikukuu njema wakuu.
Nasubiria mialiko.
Kazi kweli kwelihahahahahahah,
Kazi ipo.
Ni kassimu Majaliwa namba yakoKwa Mtogole mzee baba Ukifika ile namba yangu nipigie nije kukuchukua hapo Stendi