moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahahaha mmechoka,
Poleni
Poleni
Moud bana hahaha
Moud bana hahaha
Eid njemaa
Nawatakia Idd Mubarak njema,wapendwa nawakaribisha kwangu kwa mtogole [emoji4][emoji4]
Eid njema bro.Hahahahaha mmechoka,
Poleni
Biriani,Ubwabwa mweupe, kuku wa kukaanga njoo mpendwa vitamu vyote nimepika viko tayari nasubiri wageni hapaTupe menu kabisa kutakuwa na nini na nini
Karibu nyumbani BradhaSikukuu njema wakuu.
Nasubiria mialiko.
hahahahahahah,Kesho ndo kesho ukipotea humu tu watu tunaanza kuhesabu misemo ya jirani msimu wa kilimo,mchana wa piiipiiii,usiku wa kupeana,siku ya ujiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]