Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16] Nimeukosaje ubuyu? Iko wapi hiyo picha jameni...
Sijui nianze kupiga hela? Nikianza kuchaji dola 50 kwa kila anayeitaka si ninaweza kupata hata pesa ya kununua ka iPhone kabisa?

Picha ni moto balaa na tangu nizaliwe sijawahi kuona mtoto mkali kama huyu wallahi. Dondosha $50 nikurushie fasta ushuhudie uumbaji wa Mola uliotukuka..
 
Weka ka ushahidi tukuamini
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe unaogopa kuibiwa ee
Ana bahati uzi huu siku hizi umepoa sana (only 2 active players). Ingekuwa purukushani za wakati ule akina KK, Bob12 na magwiji wengine wako hapa mweh! Hata mbwembwe zake na mikwara ya iPhone isingesaidia kitu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Angeibiwa mchana kweupeee abaki mpole tu kama cole.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah hata maua hakuna Poti unataka mpunga tu?
Maua nilimkabidhi tangu jana...
91591351-1482-47f4-a4b8-62562f8562c9.jpeg
 
Kesho ndo kesho ukipotea humu tu watu tunaanza kuhesabu misemo ya jirani msimu wa kilimo,mchana wa piiipiiii,usiku wa kupeana,siku ya ujiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daah! Kesho nitakua ugenini ila itabidi tu nicheze na simu muda wote mana kweli nikipotea zitaungwa dots za uongo alafu zitaunlock

😂😂😂
 
Coco mwenyewe alijuaje kuwa huyo ni wifi na siyo picha tu ya maslei kwini wa IG? Mi niliiona wala sikujali mpaka Coco alipoanza kumshtua King mwenyewe ndo nikashtuka nikarudi na kuisevu fasta [emoji16][emoji16][emoji16]
Bro picha za davet zinajulikana tu siku akikosea ukabahatika kuiona utagundua. Ila coco ni shida sijui aligunduaje au alishatambulishwa akakariri kucha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom