Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sipati picha wanaendana kabisa. Kwa deksripishen ya bro bint katulia vizuri,bwana kiduku nae yupo poa na suruali zake za mpasuko sijui panya wanafanyaga yao anasingizia fashen uwiiiii huu uzii umebeba mboga saba wa maana[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 Bro ameshindwa kulalaaaa! Ahahaaa Davet wewe!
 
Angeibiwa mchana kweupeee abaki mpole tu kama cole.[emoji23][emoji23][emoji23]
Cole alipigwa mchana kweupe akageuka kuwa Mfalme Suleiman na kuanza parables na mapambio. Hata Ankoo naye alibakiza kidogo anyang'anywe Nsamaka wake na KK na Moud. Mi kidogo Kitoo wangu atwaliwe na Bob 12 (Baba Viv). Wakati ule ilikuwa ukipotea masaa mawili unakuta jamaa wanataka kufanya yao...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sijui nianze kupiga hela? Nikianza kuchaji dola 50 kwa kila anayeitaka si ninaweza kupata hata pesa ya kununua ka iPhone kabisa?

Picha ni moto balaa na tangu nizaliwe sijawahi kuona mtoto mkali kama huyu wallahi. Dondosha $50 nikurushie fasta ushuhudie uumbaji wa Mola uliotukuka..
Wallahi nna dollar 100 hapa! maana hiyo picha imekuwa kama kideo cha Gwaji.. ni fullu kusifiwa! hapana kuiokosa aisee!
 
Hahah! Mwezi unaisha huu trend zinarudi kwa wenyewe huko Nyanda za juu
Wazee wa Nyanda za Juu wameshagonga 80 na officially wameritaya na haya mambo. Ni wakati wenu sasa maandaeitini. Ila mkitaka ushauri wahenga tupo...been there done that. Tatizo lenu ni kujifanya kuwa mnajua kila kitu na hii sometimes inawacost !!!
 
Cole alipigwa mchana kweupe akageuka kuwa Mfalme Suleiman na kuanza parables na mapambio. Hata Ankoo naye alibakiza kidogo anyang'anywe Nsamaka wake na KK na Moud. Mi kidogo Kitoo wangu atwaliwe na Bob 12 (Baba Viv). Wakati ule ilikuwa ukipotea masaa mawili unakuta jamaa wanataka kufanya yao...[emoji16][emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣 Kumbee..
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bro ameshindwa kulalaaaa! Ahahaaa Davet wewe!
Nimeshatembea zaidi ya nchi 20 hapa duniani na kuona wanawake wa kila aina ila huyu wifi ni habari nyingine. Mpaka nimemtungia kashairi kabisa wakati hisia zikiwa kali ili nisije nikasahau...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cole alipigwa mchana kweupe akageuka kuwa Mfalme Suleiman na kuanza parables na mapambio. Hata Ankoo naye alibakiza kidogo anyang'anywe Nsamaka wake na KK na Moud. Mi kidogo Kitoo wangu atwaliwe na Bob 12 (Baba Viv). Wakati ule ilikuwa ukipotea masaa mawili unakuta jamaa wanataka kufanya yao...[emoji16][emoji16][emoji16]
😂😂😂
 
Back
Top Bottom