Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_15596683746188887.jpg
 
Nimekutania sana my young bro. Nafurahi kwamba hukasiriki. Ngoja niache sasa...

Na ukweli ni kwamba picha ile niliiona nikaipa like kuja kuusoma mchezo wakati ule nishaaga kuwa naenda kulala uliposema kuwa nitakuwa sijaiona. Nikarudi kufuatilia ili nihakikishe nikakuta umeshaitoa. Ila kichwani imo bado.
Kwajinsi picha lilivyokua haya maelezo ndio yana ukweli wa dhati kabisa...

Usikonde bro tupo pamoja
 
Mpare pekee ndo walimshindwa na babe s wake
Mpare alikuwa anatumia misuli sana kumdhibiti Baby wake. Walikuwa wakija kwenye uzi wote wawili na kuondoka pamoja. Alijaribu sana jamaa mmoja anaitwa sijui Big Baba lakini akakwama. Hatujakaa sawa Mpare katangaza kuwa keshapiga mtu mimba. Mchezo ukawa finito...
 
Back
Top Bottom