Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahah! Utamuweza bro anajua kuzoom jambo
Nimekutania sana my young bro. Nafurahi kwamba hukasiriki. Ngoja niache sasa...

Na ukweli ni kwamba picha ile niliiona nikaipa like kuja kuusoma mchezo wakati ule nishaaga kuwa naenda kulala uliposema kuwa nitakuwa sijaiona. Nikarudi kufuatilia ili nihakikishe nikakuta umeshaitoa. Ila kichwani imo bado.
 
IMG_20190604_055115_184.jpeg
 
Cole alipigwa mchana kweupe akageuka kuwa Mfalme Suleiman na kuanza parables na mapambio. Hata Ankoo naye alibakiza kidogo anyang'anywe Nsamaka wake na KK na Moud. Mi kidogo Kitoo wangu atwaliwe na Bob 12 (Baba Viv). Wakati ule ilikuwa ukipotea masaa mawili unakuta jamaa wanataka kufanya yao...[emoji16][emoji16][emoji16]
Mpare pekee ndo walimshindwa na babe s wake
 
Back
Top Bottom