Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
[emoji23][emoji23][emoji23]Mgumu bana
Embu rusha li invitesheni hapo! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23]Mgumu bana
Dah hata maua hakuna Poti unataka mpunga tu?Tuliokaa mkao wa kusubiria mwaliko/mialiko tukutane hapa! [emoji1][emoji1]
Subiri christmass. Saiv zamu ya akina hawachi,fragaria,moud,davet,ningeEmbu rusha li invitesheni hapo! [emoji1][emoji1]
Dah hata maua hakuna Poti unataka mpunga tu?
Coco nitumie picha inbobo sisemi...Katukosesha ubuyu
Sikukuu ya Idi unagawa zawadi kwa wafungaji wa mwezi mzima kwanza!Ubwabwa kwanza poti! [emoji1][emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]full furaha😂😂😂😂
Usione nimekausha na mimi nautaka huo ubuyu 😀😀😀Coco nitumie picha inbobo sisemi...
Eid Mubarak Davet.. naona umeianza kwa shooo😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 Kusutwa sunna!Usione nimekausha na mimi nautaka huo ubuyu 😀😀😀
Siku hizi nikitaka kuingia humu ndani lazima niwe peke yangu maana huwa nacheka sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]full furaha
Na kwako pia Fraggy!Asante Coco..Eid Mubarak
[emoji23][emoji23] hapana sio langu ila nimeambiwa limefanana na la Babe wake DavetKg.. Hilo guu lako wifiii?
Na siku hizi umekua our main topic kila dakika unaibua jipya[emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi nikitaka kuingia humu ndani lazima niwe peke yangu maana huwa nacheka sanaaa
Nawapenda Mpendwa ila kesho iwe maalumu kwa ajili yetu mpendwa.Jamanii ukipenda boga penda na uwa lake 😀😀😀
Minalfaidhinah! Fragaria.....Eid Mubarak Davet.. naona umeianza kwa shooo
Kusuntwa maelekezo,ubuyu sunna[emoji23][emoji23][emoji23]🤣🤣🤣🤣 Kusutwa sunna!