Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Niko salama kabisa Carba. Jakitoo ndo nimemshusha hapa job nami naelekea kwenye mihangaiko yangu. We tayari ushatinga kazini? Uwe na siku njema Carba....Mkuu SHIMBA YA BUYENZE nakusalimu pamoja na jakitoo