Hahaha wabhejahahahaha inakuwa tabu kweli kweli,inatakiwa uwe makini,ni mwendo wa kutupia vinyago za nyama pekee na kapilau kidogo
Karbu sana[emoji23]
Aaah kumbe ni kaifa hapo poaHahaha numbisa bhana,,ni Kaifa unaitikia Twaibu
Mzee davet sie tunaenda kunywa uji wewe endelea kulinda uzi[emoji23][emoji23][emoji23]Nipo
Shangaa na wewe hahahaYaani mda woooote huo umeitwa ndio unaitika bro π π ??
Mjinga sana huyuMAAJABU:Leo nimetumia saa moja na nusu kwenda mwanza kutoka shinyanga kwa basi, kurudi shinyanga nimetumia dakika 90,
Wakuu leo nimeshangaa sana isee, yaani nimetoka shinyanga to mwanza nimetumia takribani saa moja na nusu , nimefika rocky city nikafanya shughuli zangu na nilipomaliza nikarudi shinyanga kwa kutumia dakika 90. Tofauti hii ya muda imetokana na nini?www.jamiiforums.com
HahahahaSHIMBA YA BUYENZE ushauri wako unahitajika kuleMke wangu kawa bonge hadi najihisi kama nina kibamia
Huyu mwanamke nilikutana nae miaka 8 iliyopita ,alikua na mwili wa wastani kabisa na nilienjoy penzi lake kwa kila style niliyomuweka Sasa baada ya kupata kazi ya mshahara mnono na kuzaa tena watoto wawili amekuwa bonge balaa na kila siku anazidi kunenepa Mke wangu kawa na kitambi kufanya...www.jamiiforums.com
Mzee davet sie tunaenda kunywa uji wewe endelea kulinda uzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha hujamuelewa. Kaweka swali kimtegoMjinga sana huyu
[emoji125]Hebu twende zetuππππββοΈπββοΈπββοΈ
Nimemwelewa sana nimekoment kwenye Uzi wakeHahahaha hujamuelewa. Kaweka swali kimtego