Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Amepokea salamu Bro usijali.
Kwani Haupo nae
Amepokea salamu Bro usijali.
Humo ndio bado sisi tunacheza mkuu, mambo mengi sisi
Bro maswali yako yamekaa kichochezi sana leo,Kwani Haupo nae
Sawa mpendwa wangu nakuja🙂Nawezaje kukimbia mpendwa ukuje yale maeneo nakusubiri
Idd Mubarak Bro!
Hope unasiku njema sana hapo.
safari imekufa 😀😀😀Sawa mpendwa wangu nakuja🙂
Asante sana Bro.Kwako pia Bro. Namshukuru Mwenyezi Mungu niko poa kabisa Mkuu.
Siku yangu iko vizuri sana tu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Usinifanyie hivyo buana,..safari imekufa 😀😀😀
HahahahAshukuliwe kiungo Matata Davet
Nilikuwa nasubiri mwaliko wako naona kimya hadi saa hiziNzuri IDD inasemaje