Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Amepokea salamu Bro usijali.
Humo ndio bado sisi tunacheza mkuu, mambo mengi sisi
Bro maswali yako yamekaa kichochezi sana leo,Kwani Haupo nae
Idd Mubarak Bro!ππ½ππ½ππ½π
Sawa mpendwa wangu nakujaπNawezaje kukimbia mpendwa ukuje yale maeneo nakusubiri
Idd Mubarak Bro!
Hope unasiku njema sana hapo.
safari imekufa πππSawa mpendwa wangu nakujaπ
Asante sana Bro.Kwako pia Bro. Namshukuru Mwenyezi Mungu niko poa kabisa Mkuu.
Siku yangu iko vizuri sana tu ππ½ππ½ππ½
Usinifanyie hivyo buana,..safari imekufa πππ
HahahahAshukuliwe kiungo Matata Davet
Nilikuwa nasubiri mwaliko wako naona kimya hadi saa hiziNzuri IDD inasemaje