myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
[emoji106]Beautiful FlavianaView attachment 1118731
[emoji106]Beautiful FlavianaView attachment 1118731
SafiiMy favourite colour
![]()
Jamaniii,waja wana mambo khaa!!Wewe unavyomuona amepatia kweli huo muonekano au amepuyanga ? . . Mdada huyo Kwa furaha amejitupa mtandaoni kupost picha za harusi yake, lakini tofauti na alivyotegemea kupongezwa, badala yake wengi wamemchambua kuwa hajapendeza wala nini na hizo make up, wengine wamemtupia vijembe kuwa labda make up hizo alipakwa na ex wa aliyemuoa. Pia wamemzodoa Kwa kumwambia nguo yenyewe hata haijampendeza. Wengine wameibutua hiyo keki ya Harusi huku wakienda mbali kumtungua jumla wakidai labda hiyo ndoa/harusi ilikuwa ya mkekaView attachment 1118821
Likes zinaendelea
[emoji23][emoji23] huyo aliyempamba haendi mbinguniWewe unavyomuona amepatia kweli huo muonekano au amepuyanga ? . . Mdada huyo Kwa furaha amejitupa mtandaoni kupost picha za harusi yake, lakini tofauti na alivyotegemea kupongezwa, badala yake wengi wamemchambua kuwa hajapendeza wala nini na hizo make up, wengine wamemtupia vijembe kuwa labda make up hizo alipakwa na ex wa aliyemuoa. Pia wamemzodoa Kwa kumwambia nguo yenyewe hata haijampendeza. Wengine wameibutua hiyo keki ya Harusi huku wakienda mbali kumtungua jumla wakidai labda hiyo ndoa/harusi ilikuwa ya mkekaView attachment 1118821
Pamoja..Tupo pamoja ndugu zangu
Nimeidaka sehemu king mswati kaandaliwa si waona kapotea humu yupo busy kuufinyaNdo umemuandalia bae usiku huu au unamtega king mswati?[emoji23][emoji23]