Tena wanafaidi si kitoto
[emoji120][emoji120][emoji120]hivi kuna yoyote humu ndani sijampa likes angalau 20 kwa siku ya leo?
nimegonga likes kurasa 50.
zawadi yangu ya iddi el fitr.
Naona na vichipsi vya kiaina kwajuu hapo. Bro leo umetisha 👊[emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 1118970
ameen lakini nisifikishe umri ambao nitashindwa kujisaidia mwenyewe shida zangu.Long live mkuu mungu akupe maisha mrefu yenye baraka
thanksHappy birthday mkuu