mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mwenye nguvu ataishiTulia weweView attachment 1118854
Hahahaha[emoji1787][emoji1787]View attachment 1118855
Hahahahaha hatari sanaHapa kifo cha mdudu ni shidaaaaa mrembo anaweza akagoma [emoji12][emoji12][emoji12]
Ndio nani huyoKumbe uzi huu una King Mswati!![emoji23][emoji23].
Salaam dadake
Trump anaweza shinda second termDuh!!
Tehetehe kweli kabisaView attachment 1118860Kipele G ukikipata kazi imeishaa [emoji16]
Yap G spotHivyo eh! Kiswahili chake ndiyo kinaitwa Kipele G? [emoji39][emoji39][emoji39]
IDD ilikuwaje kwakoSafi tu dear, habari za Eid!
Mkuu niaje IDD MUBARAK japo nimechelewa kukupa heri ya IDDnimebaki kucheka peke yangu kama niliyeokota hundi ya billioni 1.
ghost wangu ni roy kim na hajaonekana kwenye uzi huu muda mrefu sana ahjummaa mtarajiwa baada ya miaka 20.
Na sikukuu hii hahahahaKaribun
Ugali maharage
Shabani RobertNguli wa FasihiView attachment 1118887
Mbona kubwa sanaHoho za KelegeView attachment 1118890
Namwona UndertakerJiangalie wewe..View attachment 1118895
Hahahaha
HakikaTanzania iliyobarikiwaView attachment 1118896
Wataalamu watakuja kujibu hiliInasemekana
Bila chakula kuchanganyika na mate huwezi kupata ladha yake.Mate yanalainisha chakula na kukisambaza kwenye sehemu za ulimi zinazopima ladha.
Upo sahihiAlmasi ndio kitu kigumu kuliko vitu vyote vinavyojulikana na binadamu.Ndio inayotumika katika ncha za vifaa vya uchimbaji ja upasuaji miamba.