Ni zamu ya ba-shit sasa 😀2020 presidential election
nimesikia kuna timu uchwara zikiongozwa na maembe mabichi, lipumbavu, mzito mwepesi, kitundu kidogo na wengineo wameshaanza vikampeni uchwara kwa dhumuni la kurithi madaraka ya Tanzania Bank.
nimebaki nawacheka muda huu kama katuni ya zootopia, sina haraka ya kuingia uwanjani na mshambuliaji wangu machachari anayevuruga pande zote bila ya kuangalia sura ya adui haijalishi mpinzani ana kichogo, kichwa bapa kama ng'ombe, masikio kama panya n.k
😁😁😁Utadhan unaishi mamtoni kumbe bongo tu ,kalale bae wa uzi
Aisee0515
My feelings exactly..
Safi
SalaamSalam kwenu
Happy EidSikukuu inaendelea
Afadhali umecheka..kumbe unachekaga?nimebaki kucheka peke yangu kama niliyeokota hundi ya billioni 1.
ghost wangu ni roy kim na hajaonekana kwenye uzi huu muda mrefu sana ahjummaa mtarajiwa baada ya miaka 20.
Salam kwenu
Tupo vizuri mwanauziHabari za sikukuu wanauzi