Safi bro, kwako pia
Vipi Six zinakuhusu?
Salama salimini, siku njema huko.Hahah! Bro lakini mliaga kabisa tena mkasema mnaenda kufanya nini
Salama ndugu vipi mapumziko yanaendeleaje?
Hbr ya asubuhi bro.
Hbr ya asubuhi bro.
Ni mzima pia.Siku njema huko.Njema, habari yako
nimeisoma hii habari huyu fala inakadiriwa amechota takribani trillioni 10 za kitanzania pindi alipokuwa madarakani.Another $267m stolen by ex-Nigerian president discovered in Channel Islands bank
$267m stolen by ex-Nigerian president discovered in Channel Islands bank
The government of Jersey, of the United Kingdom in the Channel Islands between England and France has seized an amount of £211 millionface2faceafrica.com
Sawa bro kila lakheri 🙏Zinanihusu ila kama ujuavyo, sunnah ni tofauti na daradhi.
Pamoja sana broSalama salimini, siku njema huko.
Nasubiria zile home works za "baada ya Ramadan"...