Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1119367

The Euro sculpture built in 2001, in need of repairs undergoes restoration in Frankfurt am Main, Germany (Credit: Getty Images)
 
Hahah! Watu wanarudisha kombe bhana...

Ila hapo afadhali kidogo maana waliwaonea jamaa
Yaani kama liver washachukua watu tumeshachinja mbuzi halafu mnaambiwa mrudishe kombe hahahaa dah inauma sana lakini Ahmed Ahmed CAF boss anatakiwa kuwa na maamuzi magumu final inatakiwa kuwa moja hizi final za nyumbani na ugenini ni majanga hata America kusini janga ni hilo hilo
 
VAR hahaha majanga haya
HBD
Numbisa bado upo usingizini?
Cristiano Ronaldo has scored 30% of the total Portugal National Team Hat
  1. renderTimingPixel.png
    With his hat trick against Switzerland in the Nations League semi-finals he has scored 7, out of 23.
  2. He has also now scored 88 international goals, ranking #2 of all time - 21 behind the all time leader Ali Daei of Iran.
ukisikia mbuzi beberu aliyepea ndiye huyu jamani, na sio wale munaowatukana kwenye media huku mukikodoa mimacho kama kabudi na bado beberu hao wanaendelea kuwaletea misaada ya kondomu, panadol, vyandarua n.k

nasikia VAR ya ulaya jana imefanya yake kuliko ya afrika.
kumbe wa afrika tuko na ubora kuliko vizungu uchwara
 
Back
Top Bottom