mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu nadrive Mara nyingi usiku nimeshakutana majanga hayo utakiwi kukwepa kabisaHmmm!
Yaani kama liver washachukua watu tumeshachinja mbuzi halafu mnaambiwa mrudishe kombe hahahaa dah inauma sana lakini Ahmed Ahmed CAF boss anatakiwa kuwa na maamuzi magumu final inatakiwa kuwa moja hizi final za nyumbani na ugenini ni majanga hata America kusini janga ni hilo hiloHahah! Watu wanarudisha kombe bhana...
Ila hapo afadhali kidogo maana waliwaonea jamaa
[emoji3][emoji3][emoji3], hapana mzee hayo mambo yanawenyewe
HahahahaWa magogoni na Lumumba [emoji41]
Dawa nimeshawapa hapo juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa kupiga kelele itasaidia nini? Mara anaanza kulifuata gari huku akiruka ruka kiajabu ajabu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yapannyeonghaseyo ===>>> hello
Fun Fact: Liverpool are the first Champions League Winners to not have their kits made by Nike or Adidas in 14 years
Numbisa bado upo usingizini?
Cristiano Ronaldo has scored 30% of the total Portugal National Team Hat
ukisikia mbuzi beberu aliyepea ndiye huyu jamani, na sio wale munaowatukana kwenye media huku mukikodoa mimacho kama kabudi na bado beberu hao wanaendelea kuwaletea misaada ya kondomu, panadol, vyandarua n.k
With his hat trick against Switzerland in the Nations League semi-finals he has scored 7, out of 23. - He has also now scored 88 international goals, ranking #2 of all time - 21 behind the all time leader Ali Daei of Iran.
nasikia VAR ya ulaya jana imefanya yake kuliko ya afrika.
kumbe wa afrika tuko na ubora kuliko vizungu uchwara
Naona alikuwa team SwisCole Williams ile mechi uliyokua unaangalia jana iliishaje?[emoji23][emoji23][emoji23]
Salama mkuuSalam kwenu
Yap kama kawaidaSikukuu inaendelea
Nzuri mkuuHabari za sikukuu wanauzi
Hardest Metal
Hila bara tabu sanaHiki ni kizungumkuti,
Afrika siyo bure, kuna mkono wa mtu
HahahahaDavet, kwa mujibu wa carbamazepine
Ulikata mkuuAseee, ulikesha mkuu