Ni mzima pia.Siku njema huko.
Hahahaha nimejaribu kukumbuka good days za kukesha kwenye uzi wetu huuMorning hiyo tena[emoji41][emoji41]
Mwinyi Zahera kocha maneno mingi sana huyu
100%Tupendane bila kujali tulikua wapi jana au tutakua wapi kesho
Anatafuta nn huyoleo ndio nimeamini kweli dunia inazunguka
picha hii nimeikuta ukurasa wa yerico nyerere
View attachment 1119356
Hahaha nakumbuka sana[emoji23][emoji23]View attachment 1119381
Na AsiaUmasikini bado ni janga kubwa barani Afrika.View attachment 1119392
Genk nako nasikia ni bahati nasibu maana watacheza play offsMm ningelipenda samatta acheze UCL na Genk kwanza kabla ya kumove kwenda EPL View attachment 1119397