Katika somo la Historia wanafunzi hufundishwa kuhusu great leaders wa taifa hilo kubwa. Mara nyingi viongozi hawa mashuhuri hupambanuliwa na jambo moja tu kuu ambalo walilitenda wakati wa uongozi wao. Sifa hii viongozi wengi wa Afrika hawana. Yaani mtu anaingia madarakani mpaka anatoka hana signature achievement ambayo inaweza kumfanya historia imkumbuke kwa mema. Hawana vision ya kujenga legacy. Kwao ni ufisadi tu kujitajirisha kupita kiasi pamoja na familia zao na marafiki zao wachache. Hili ni tatizo kwa viongozi wengi wa Afrika !!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.