Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1120530
 
Pale anko amemalizia deni la Ngosha the don [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1120473
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Ankoo mjanja. Alivunja ndoa na mazahausi wake orijino na kusepa ili tu asimalizie kulipa mahari wakati hata ving'ombe alivyokuwa analipa ni viandunje halafu vigonjwa. Ni bahili kuliko hata Uniq...
Angetupa ling'ombe limoja kama hili aisee ingekuwa poa sana. Hatuna hamu na Wanyakyusa kwa kweli [emoji2221][emoji2221][emoji2221]

tapatalk_1559899753791.jpeg
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Ankoo mjanja. Alivunja ndoa na mazahausi wake orijino ([emoji116][emoji116][emoji116]) na kusepa ili tu asimalizie kulipa mahari wakati hata ving'ombe alivyokuwa analipa ni viandunje halafu vigonjwa. Ni bahili kuliko hata Uniq...
Angetupa ling'ombe limoja kama hili aisee ingekuwa poa sana. Hatuna hamu na Wanyakyusa kwa kweli [emoji2221][emoji2221][emoji2221]

View attachment 1120531
Habari yako Shimba wa buyenze
 
Back
Top Bottom