capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
π€π€Hebu mpe nafasi achat kidogo mda mwingi umemfungia πββοΈπββοΈπββοΈ
bado hata sijafahamu[emoji23][emoji23] lakini nina nia ya dhati kabisa maana naona wananchi wanateseka kwelikweliKupitia Chama gani mkuu?
Achilia nywilaaa [emoji344][emoji344][emoji344][emoji848][emoji848]
Wanasiasa bana [emoji16][emoji16][emoji16]bado hata sijafahamu[emoji23][emoji23] lakini nina nia ya dhati kabisa maana naona wananchi wanateseka kwelikweli
Hapa kwema Bro, sijui hapo kwako.Kwema huko?
Kile cha Mh. Rungwe kinaitwaje?Kupitia Chama gani mkuu?
Kenti kompuleini bro...Hapa kwema Bro, sijui hapo kwako.
Hii ndinga haipandi tuta
Kwema Bro ni vile natamani gari moja kati hizo,..Fresh sana mzee wa kazi, vipi huko kwema?