Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Toka arudi msaliti lowassa nimeamua kuachana na siasa nikifikilia jinsi nilivyokuwa sikosi kwenye mikutano yake ikiwa dar enzi za uchaguzi dadeki [emoji45][emoji45][emoji45]
Ndo siasa zetu hizi. Wananchi ni mitaji. Hata mwaka kesho hayo yatatokea bila shaka kwa wengi kuhama kwenda huku na huko kujitafutia ridhiki. Wanasemaga kuwa kamwe usimwamini mwanasiasa hata kama ni babako mzazi...
 
Nakumbuka ISIS alikuwa hapendi picha za misambwanda hadi akatangaza kutozipa likes picha hizo, mzee baba nawe ukaungana na malkia kutuponda, mimi na Katibu wangu tukakaza, Mzee wa pwani nae akaanza kutuponda, jeshi la mtu mbili tukakomaa tu (ashukuriwe MKOROMIJE kwa uvumilivu) kutupia mipicha yenye mvuto na uhalisia, mara Mzee wa liver ukaanza kumsaliti Malkia kwa kuzisifia kimoyo moyo,ulivyo shitukiwa akaruhusiwa kuzisifia naye akaanza kuzitwanga "mi-likes"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Isingekuwa uimara wetu Cole Williams angetumaliza kwa parabozi zake za kuponda vibonge.
#nimekumbukambalisana#
#bintimpoleakiitwamamaushauri#
Mtu unaweza kutungia kitabu uzi huu...na ukauza vizuri tu. Tumetoka mbali sana indeed wallahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home japo kwa sasa nimehamia Dubai [emoji16][emoji16][emoji16]
a84e5b5f-3225-4877-aa1d-13f05e207779.jpeg
 
Toka arudi msaliti lowassa nimeamua kuachana na siasa nikifikilia jinsi nilivyokuwa sikosi kwenye mikutano yake ikiwa dar enzi za uchaguzi dadeki [emoji45][emoji45][emoji45]
Sitaki kuwaamini wanasiasa. Ni mijitu ipo kwa ajili ya mitumbo yao na kutaka kusifiwa tu kwa upumbafu wao ambao kwao ndio uchekeshaji wao.
[emoji125][emoji125]Niolo zao...
 
Shemejii katika ubora wako [emoji16][emoji16][emoji16]. Ila huyo jamaa alinikera sana. Kweli unaanzisha sredi JF kulalamika eti mkeo kanenepa sana mpaka umeanza kumshindwa? Mkeo? Wa miaka minane? Angesema tu kuwa kamchoka mkewe ningemwelewa sana tu....

Ni heri nipoteze maisha lakini heshima ya ukoo lazima ilindwe. Period !!!
View attachment 1120539
Hahahahahaha
 
Back
Top Bottom