Jamaniii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukoo mzima tulishajikatia tamaa. Mwache ale. Mali ya dhulumati huwa haidumu. Si ajabu hata ng'ombe wote wale alishawamaliza !!!
Ni huko Rocky City ulikokuwa umekwama ama?Nishapasahau jinaView attachment 1120760
Ndio huko bro hapo nilikua nimevuka naelekea Geita hukoNi huko Rocky City ulikokuwa umekwama ama?
Unajua kuogelea?Ndio huko bro hapo nilikua nimevuka naelekea Geita huko
Sana tuUnajua kuogelea?
Ha ha ha
Ulivukia kivuko hiki??barabara yake ina vumbi na mabonde balaa,,Busisi/Kigongo Ferry ndio mpango mzimaNishapasahau jinaView attachment 1120760
Niliingia chakike na ugeni wangu bro ila muda narudi nilipita huko kwingine ila mpaka kufika town ni mbali kinomaUlivukia kivuko hiki??barabara yake ina vumbi na mabonde balaa,,Busisi/Kigongo Ferry ndio mpango mzima
Mgeni fokasi yake ilikuwa kunyandua tu. Yote haya angeyajulia wapi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1734][emoji1734][emoji1734]Ulivukia kivuko hiki??barabara yake ina vumbi na mabonde balaa,,Busisi/Kigongo Ferry ndio mpango mzima
Hahahaha
Yes ni mbali lakini safari ya raha mstarehe,hakuna vumbi,mabonde,na vivuko vyao vipo salama zaidiNiliingia chakike na ugeni wangu bro ila muda narudi nilipita huko kwingine ila mpaka kufika town ni mbali kinoma