Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Hahahaha ndio kaka enzi hizo chadema damu ✌️Kwahiyo ulikuwa mmoja wa "Ulipo tupo"?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha ndio kaka enzi hizo chadema damu ✌️Kwahiyo ulikuwa mmoja wa "Ulipo tupo"?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakumbuka ISIS alikuwa hapendi picha za misambwanda hadi akatangaza kutozipa likes picha hizo, mzee baba nawe ukaungana na malkia kutuponda, mimi na Katibu wangu tukakaza, Mzee wa pwani nae akaanza kutuponda, jeshi la mtu mbili tukakomaa tu (ashukuriwe MKOROMIJE kwa uvumilivu) kutupia mipicha yenye mvuto na uhalisia, mara Mzee wa liver ukaanza kumsaliti Malkia kwa kuzisifia kimoyo moyo,ulivyo shitukiwa akaruhusiwa kuzisifia naye akaanza kuzitwanga "mi-likes"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Isingekuwa uimara wetu Cole Williams angetumaliza kwa parabozi zake za kuponda vibonge.
#nimekumbukambalisana#
#bintimpoleakiitwamamaushauri#
karibuni bilianiView attachment 1120685
Nimegundua hili sasaSiasa za nchi ni pasua kichwa
Ndo siasa zetu hizi. Wananchi ni mitaji. Hata mwaka kesho hayo yatatokea bila shaka kwa wengi kuhama kwenda huku na huko kujitafutia ridhiki. Wanasemaga kuwa kamwe usimwamini mwanasiasa hata kama ni babako mzazi...
Heshima yako ankooNakumbuka ISIS alikuwa hapendi picha za misambwanda hadi akatangaza kutozipa likes picha hizo, mzee baba nawe ukaungana na malkia kutuponda, mimi na Katibu wangu tukakaza, Mzee wa pwani nae akaanza kutuponda, jeshi la mtu mbili tukakomaa tu (ashukuriwe MKOROMIJE kwa uvumilivu) kutupia mipicha yenye mvuto na uhalisia, mara Mzee wa liver ukaanza kumsaliti Malkia kwa kuzisifia kimoyo moyo,ulivyo shitukiwa akaruhusiwa kuzisifia naye akaanza kuzitwanga "mi-likes"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Isingekuwa uimara wetu Cole Williams angetumaliza kwa parabozi zake za kuponda vibonge.
#nimekumbukambalisana#
#bintimpoleakiitwamamaushauri#
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee baba,hili kombola ni kama ulikuwa umejipanga nalo kitambo aisee,maana nimegusa tu nmekutana na za uso[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa umetoka kuoga maji yenye Iliki na ulipelekwa bafuni ukiwa umebebwa mgongoni inapaswa uwe mpole [emoji3]
Tanga raha, Dar tamu
😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mzee baba,hili kombola ni kama ulikuwa umejipanga nalo kitambo aisee,maana nimegusa tu nmekutana na za uso[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tanga,unaoshwa huku umekalishwa kwenye kigoda kama mtoto vile[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbunye hizi wanaume zitatumaliza [emoji16][emoji16][emoji16]Full story
Neymar Awasilisha Taarifa Polisi. Ni Kufuatia Madai Ya Ubakaji
Neymar awasilisha taarifa kwa polisi huku kampuni za matangazo zikianza kuvunja mkataba naye Nyota wa Brazil Neymar alienda katika kituo cha polisi mjini Rio de Janeiro kuwasilisha taarifa kufuatia madai ya ubakaji, kulingana na wakili wake. Nyota huyo amekana kumbaka Najila Trindade katika...www.jamiiforums.com
Tanga imo kwenye bucket list yangu. Hata kama nikazimikie huko niwe front page ya Shigongo potelea mbali.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hili jipya bro nimeona nikupunguze speed bado mapema kabisa ....
Tanga noma: Kama una mwili mdogo mdogo ata kwenye beseni unatumbukizwa unaoshwa chai maana sio maji tena na hivyo viungo