Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Aaha! Mkatalunya unaniangusha mzee
Mkatalunya mbona wasiwasi au kiwango changu kimekuwa kama Kevin prince Boateng
Aaha! Mkatalunya unaniangusha mzee
Mbona unaelewa haraka hivyo, mimi sitaki kungoja, nikiwahiwa je?Nimekuelewa mkuu
Ngoja nikukabidhi kwa mwalimu mwengine Davet mimi nimeshindwa.Nivumilie Hawachi ninachukuaga muda kuelewa lakini nikielewa ndiyo nimeelewa usichoke kunielewesha [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Numbisa huwezi kuwa siriaz, chatu ana rangi ya kuvutia?Chatu ni miongoni mwa nyoka wakubwa sana, wenye rangi ya kuvutia sana, anaingia katika kundi la tatu la nyoka, yaani nyoka ambao hawaumi wala kurusha sumu,
Ndio tatizo sina picha zake za haraka hapa,mzee wa liver aliziweka zinavutia kuangaliaNumbisa huwezi kuwa siriaz, chatu ana rangi ya kuvutia?
If you ever leave me baby,You know the Song ???
😀😀😀 hapana Mkatalunya upo vyema kama De jong sema tu nilikua sijashtukia mbinu ya mchezo unayotumia mimuwin mpinzani...Mkatalunya mbona wasiwasi au kiwango changu kimekuwa kama Kevin prince Boateng
Mazoea tu yanakutesa[emoji38], pole.Hahah! Yani ata nikilala mapema nashindwa kabisa kuumaliza usiku lazima nishtuke mida yetu [emoji3]