Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Are You Satisfied ???
Eeh michakato michakato...Ni vibaya kufikiri kwanza ???[emoji1549][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
Naona leo vibe la malove kama loteSalama tu Dav..filling like a million dollars
Eeh michakato michakato...
Nikweli lakini nakuonaga wewe kiungo yako inakuaga ya kibinafsi sana unapenda kukaba mwenye kwa nguvu kama Vidal na pasi upige zote mwenyewe kama Xavi, ata magoli ya assist huyafurahii unapaisha tu mipira 😀😀Hahahahaha binadamu tunategemena Mzee na team work ndiyo Msingi wa kufanikiwa mfano hata Barcelona walivyo mtegemea Messi pasipo kutegemea Team work walishindwa
Ngoja ngoja huumiza matumbo!
Kuna mtu mmoja aliniambia humu!Michakato haifai sio inabidi mambo yaende straight
Kuna mtu mmoja aliniambia humu!