Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata hivyo,Galileo aliendelea kueleza kile alichokuwa anakiamini na mwaka 1633 aliitwa tena mbele ya wakubwa na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela ambapo baadae alibadilishiwa adhabu na kupewa kifungo cha nyumbani kutokana na uzee na afya yake kuzorata na ilipofika mwaka 1642 alifariki dunia.
 
Pamoja na yote hayo aliyopitia,leo hii Galileo ni kama shujaa kwani sayansi sasa imethibitisha kuwa ni kweli dunia ndio inazunguka jua na si jua kuzunguka dunia tofauti na imani na mafunzo ya kanisa na watawala wa kiroma wa enzi za uha wake.
 
Hahahahaha binadamu tunategemena Mzee na team work ndiyo Msingi wa kufanikiwa mfano hata Barcelona walivyo mtegemea Messi pasipo kutegemea Team work walishindwa
Nikweli lakini nakuonaga wewe kiungo yako inakuaga ya kibinafsi sana unapenda kukaba mwenye kwa nguvu kama Vidal na pasi upige zote mwenyewe kama Xavi, ata magoli ya assist huyafurahii unapaisha tu mipira 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…