Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😂😂😂😂😂😂😂😂 nimecheka sana

Hii ni sawa na kiungo matata imepigwa bench alafu alieko ndani anaonekana kuzingua zingua unawish kumpigia magoti refa akuingize wewe ukafanye maajabu. Bro tafadhali usifanye tutamani kupewa viatu vyako
 
Hata hivyo, katika mwaka wa 1979, kanisa hilo lilichunguza tena hatua iliyochukuliwa na Baraza la Kikatoliki la Kuhukumu Wazushi miaka 300 iliyopita. Mwishowe, katika mwaka wa 1992, Papa John Paul wa Pili, alikubali kwamba Kanisa Katoliki lilimhukumu kimakosa Galileo.
 
Nikweli lakini nakuonaga wewe kiungo yako inakuaga ya kibinafsi sana unapenda kukaba mwenye kwa nguvu kama Vidal na pasi upige zote mwenyewe kama Xavi, ata magoli ya assist huyafurahii unapaisha tu mipira [emoji3][emoji3]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inabidi niwe nanyumbulika kama Sergio bisquet nakupiga pasi za Hela sio
 

Hahaha unatamani huwe kama keppa unamwambia kocha wako Mimi sitakiwi kutoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inabidi niwe nanyumbulika kama Sergio bisquet nakupiga pasi za Hela sio
Unyumbulifu unao sana basi tu hupendi kuuonyesha mazoezini unaogopa mapaparazi watakuweka kurasa za mbele magazetini 😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…