Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

61556008_442927609619133_8653597110809742906_n.jpg
 
taire taire mgangaaaaa
ahsante sana kwa hii taarifa mwenzako nilishaanza kuwa na wasiwasi na huyu mpishi mwenye miaka 45 ya kuzaliwa.
kuna mwanamke fulani tokea juzi amenichukiza sana.
ameniletea vileja vigumu kama makalio ya wanawake wa sudani ya kusini

Miaka 45 mbona bado kijana sana bado anamuda mrefu wakuwa na mapishi mazuri Mkuu ukiweza dhibitisha yasemwayo leta mrejesho hapa
 
Back
Top Bottom