ya kwangu0658 445222,
lile toto laini sana Bro,
Hakuna mtu anaamini limepoteza kiboya style ile!!
Ha hah
Leo ni story tuu ..
Wazee wa IDM tulikua sisi😎
Sure Bro,Hizo pande nimejidai sana mara nyingine ni sehemu bora kabisa kusafisha macho if you know what I mean
Usijali..na wewe utakuwa Mkubwa siku moja
taire taire mgangaaaaa
ahsante sana kwa hii taarifa mwenzako nilishaanza kuwa na wasiwasi na huyu mpishi mwenye miaka 45 ya kuzaliwa.
kuna mwanamke fulani tokea juzi amenichukiza sana.
ameniletea vileja vigumu kama makalio ya wanawake wa sudani ya kusini
Mmmmh..