Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anacheza na moto huyu hubby wako; na Mbwembwe na swaga zake hizi zitakuja kumtokea puani.

Tena aanze kukuheshimu na kuacha kuflirt na kila mwanamke hapa kwenye uzi. Kila mwanamke hapa yeye yumo tu na ahadi zake za iPhone. Anakuaibisha sana [emoji36][emoji36][emoji36]
Aisee [emoji848][emoji848] ushauri wako ntaufanyia kazi Bro
 
Usikwepe hoja ya msingi? Mi siyo BAKITA bana. Mahari ulishatoa? Kama hujatoa haya mambo ya wife yanatoka wapi? Au ni dharau tu?

Hapana Bro, siwezi kufanya hivyo unajaua vile nipo serious kwa swala hili.

Nilidhani utaratibu mzuri ni kujitamburisha kwanza nyumbani kabla ya swala la mahari.

Kama naweza kutoa mahari kabla ya kutambuliwa na wakwe nitafanya hivyo, kama itanilazimu kuwepo basi tuvute subira Bro, nijipange kurudi kwa swala hilo.
 
455106686_441207.jpeg
 
tumblr_prwzk8dXtC1s9a9yjo1_500.gif
 
Back
Top Bottom