Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee [emoji848][emoji848] ushauri wako ntaufanyia kazi Bro
 
Usikwepe hoja ya msingi? Mi siyo BAKITA bana. Mahari ulishatoa? Kama hujatoa haya mambo ya wife yanatoka wapi? Au ni dharau tu?

Hapana Bro, siwezi kufanya hivyo unajaua vile nipo serious kwa swala hili.

Nilidhani utaratibu mzuri ni kujitamburisha kwanza nyumbani kabla ya swala la mahari.

Kama naweza kutoa mahari kabla ya kutambuliwa na wakwe nitafanya hivyo, kama itanilazimu kuwepo basi tuvute subira Bro, nijipange kurudi kwa swala hilo.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…