Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji106].
Ubarikiwe kwa jina la bwana aliye juu
Liverpool walitwaa ubingwa wa Ulaya wikiendi iliyopita huku wakiukosa kidogo ubingwa wa England msimu uliosha na Mane na Salah wamekuwa na mchango mkubwa kikosini hapo huku wakitengeneza moja kati ya safu bora ya ushambuliaji Ulaya.
 
Wanataka kwenda kusafisha nyota....
Acha waende wakaandike historia zao
Liverpool ni timu kubwa ya soka na wamethibitisha ubora wao kwa kurudi tena katika fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa mara ya pili mfululizo, lakini wachezaji wengi wanapata shida kusema hapana pindi Real Madrid na Barcelona zinapowafuata.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…