Ahaa nimeonaNimempa sababu hapo Nyuma
Anacheza na moto huyu hubby wako; na Mbwembwe na swaga zake hizi zitakuja kumtokea puani.
Tena aanze kukuheshimu na kuacha kuflirt na kila mwanamke hapa. Kila mwanamke hapa yeye yumo tu na ahadi zake za iPhone. Anakuaibisha sana [emoji36][emoji36][emoji36]
Aisee

Aisee [emoji848][emoji848] ushauri wako ntaufanyia kazi Bro
Aisee
Kuwa na Big Bradha raha sana...
Wameshaacha kushangilia kweli au bado wanashtua shtua?Liverpool walitwaa ubingwa wa Ulaya wikiendi iliyopita huku wakiukosa kidogo ubingwa wa England msimu uliosha na Mane na Salah wamekuwa na mchango mkubwa kikosini hapo huku wakitengeneza moja kati ya safu bora ya ushambuliaji Ulaya.