Madem mbona huwa mnatuonea hivi?
kama umejifunika na dem blanket moja alafu anyambe,utasikia akisema..."aki beb,hizo chipo nimekula tao,sijui walizipika na mafuta gani,tumbo yangu haiko sawa"...inabidi boy aichukulie vile imekuja na kumove on.
wacha boy afanye makosa ati ananyamba....utasikia dem..."aki kuanga serious sometyms,yani unataka kuniua na mafi...hii ni tabia gani mwanaume mkubwa kama wewe....hata hii tabia ndio huwa inafanya naogopa kuja kulala na wewe...nyamba tena uone kama sitavaa manguo na kwenda...nkt!".
maboy tulikosa nini kwa hii dunia...[emoji27][emoji27][emoji27][emoji27]
But si ni life[emoji23][emoji23]