Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkataba wa sasa wa Mata utafika tamati mwishoni mwa mwezi huu na kwamba atakuwa huru kuondoka kwenye timu hiyo bure kabisa kama kutakuwa na timu itahitaji saini yake. Lakini, Man United wamethibitisha kwamba wamempa ofa ya mkataba mpya staa huyo mwenye umri wa miaka 31 wakiamini kwamba bado kuna kitu atakifanya chini ya kocha Solskjaer.
 
Wachezaji ambao wanatemwa na Man United ni pamoja na Herrera, Valencia, Regan Poole, Zak Dearnley, Tom Sang, Callum Whelan, Matty Willock, James Wilson, Matthew Olosunde, Tyrell Warren, DJ Buffonge, Callum Gribbin, Josh, Baars Bohui na James Thompson.
 
Lakini, kufanikisha hilo wababe hao wa Bernabeu itabidi kuwafungulia milango nyota kibao kwenye kikosi chao waondoke kupisha nafasi.
Los Blancos hadi sasa imeshamsajili Luka Jovic, Pauni 60 milioni, beki Eder Militao Pauni 45 milioni na kinda Rodrygo, ambaye amatajwa kuwa Pauni 35 milioni.
 
Jambo hilo linafanya wababe hao hadi sasa kuwa wametumia Pauni 260 milioni kwenye kufanya usajili, huku ripoti zikifichua kwamba wanamtaka beki wa kushoto wa Lyon, Ferland Mendy, ambaye atawagharimu Pauni 45 milioni na wanawataka pia Christian Eriksen na Paul Pogba.
 
Katika kupata pesa za kuboresha usajili wao huo na kukwepa rungu la Uefa la usawa wa matumizi na mapato, Real Madrid itabidi ipige bei mastaa wake kadhaa na ripoti zinadai kwamba kuna mastaa 11 watapigwa bei.
 
Back
Top Bottom