“Katika utawala wangu nataka niwashushe chini matajiri wote ili waishi kama mashetani.” Magufuli May 13, 2016
“Mimi ningependa nitakapomaliza muda wangu angalau niwe na mabilionea wafanyabiashara zaidi ya mia moja. Nitafurahi sana.” Magufuli June 7, 2019
😳😳😳😳😳😳😳
Diamonds are forever
Mimi namtegea Mungu ili anipe hekima na amani moyoni.Watu wengi wanamtegemea Mungu ili wapate faida/wanacho kihitaji,mimi hapana,sihitaji kumtegemea Mungu ili nipate faida.
Mimi ni wa Mungu, yeye BWANA yupo ndani yangu nami nipo ndani Yake,pasipo Yeye mimi si kitu.Uhitaji wangu kwake ni wa muda wote...
Kauli gongana kutoka kwa namba moja“Katika utawala wangu nataka niwashushe chini matajiri wote ili waishi kama mashetani.” Magufuli May 13, 2016
“Mimi ningependa nitakapomaliza muda wangu angalau niwe na mabilionea wafanyabiashara zaidi ya mia moja. Nitafurahi sana.” Magufuli June 7, 2019
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]