Tuamini ipi hapo?Kauli gongana kutoka kwa namba moja
Na huo ndio utajiri mkubwa kwa sisi wanadamu wenye ukomo wa kuishi hapa duniani.Mengine ni UBATILI...Mimi namtegea Mungu ili anipe hekima na amani moyoni.
Labda ma-preizi timu watakuwa wamemuelewa,kati ya hizo kauli itakayo shangiliwa zaidi ndio tuiamini...Tuamini ipi hapo?
Mmarekani mweusi BAK
Hii Nchi ina maajabu sana aisee☹️☹️☹️Maendeleo hayana chamaView attachment 1122169