Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mhhhhhh siamini kama compiler yako ya kuranisha program imegoma.
hivi kuna mwengine humu ndani zaidi yako mwenye sifa za CR7.
anafunga kwa kichwa, mguu,shingo, mbavu, kiuno.
na ndivyo ulivyo wewe kila eneo upo.
Rolo Modo
Anonimazi foreva
Esta
Prisca
Play Maker
Binti Mpole
Timu Zari
Timu CR7

Salute [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
...Ngosha the Don [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna siri kubwa juu ya nguvu ya matangazo, Licha ya Google kuwa moja ya Search Engine’ ambazo zinatumiwa kwa kiasi kikubwa na watu katika vifaa vya mawasiliano lakini hiyo haiwafanyi kuacha kuhakikisha kila siku wanaendelea kuwa juu.
 
Uwepo wa Google kwenye vifaa vya Apple kama iPhone, Mac na iPad imeonekana kuwa na faida kubwa kwa Google hasa kutokana na ubora wa vifaa na watumiaji wake wengi ambao hupenda kununua vitu mtandaoni.
 
Watakua wanafanya marekebisho tuwavumilie, ndio mchaj kabisa vi- iphone vyenu sasa
Jana wewe na Cole mlinifurahisha sana japo mlisingiziwa eti wivu [emoji16][emoji16][emoji16]
20190605_132646.jpeg

20190605_132725.jpeg
 
Back
Top Bottom