Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

humu ndani ni full raha no vita no stress.
utakutana na jay z wa tz nadhani ushamfahamu
utakutana na playmaker kila pahali yupo kama ronaldo
utakutana na mmarekani mweusi aliyelelewa tanzania muda wote, cha ajabu kiswahili hajui sana kuliko kiingilishi
utakutana na server, tafdhali andika kwa umakini ili kaburi lisifukuliwe
utakutana na mzee wa coding a.k.a iphone giftii
utakutana na mkorea mweusi, a.k.a mzee wa mautani mengi, kama huwezi utani wake usimpe likes
utakutana na mzee wa poleni wafanyakazi, wazazi, abiria. muda si mrefu atakuja humu ndani kutoa pole.
kuna mmoja ana mwaka mmoja hajaingia humu ndani lakini cha jabu likes zake zinaongezeka, roboti la mbao kutoka kolomijeeee

Nimecheka sana aisee...

We Mkorea Mweusi mkorofi sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Blue spinel, green garnet and topaz
FB_IMG_1559829372840.jpeg
 
Huyu Mzee wa Kikerewe amekipataje hiki cheo cha u Jei Zi wa Tanzania? Ni ubilionea (wa maForex), muziki, kuoa mke mkali (the One and the Only One) ama nini?

Nauliza kama mtunza kumbukumbu wa uzi
mfanya biashara wa madini, uyo member mpya humu ndani amechapia.
nilimuuliza ushampa likes jay z wa tanzania?
akaniuliza ndio nani?

nikamwita mzee wa liver
jamaa ndio anaamini mzee wa liver ndiye jay z wa tz.

ukweli ni kwamba jay z wa tz ni moudgulf, inasemekana jamaa wiki mbili zilizopita aliuza almasi kwa bilioni 1 ndio maana anapost mapicha ya madini tokea jana usiku.

jay z juzi ametangazwa kuwa ni mwana hip hop bilionea duniani.
ukiunganisha dot utagundua ya kwamba jay z na moudgulf ni ndugu wawili wasiojuwana
🚴‍♀️🚴‍♀️🚴‍♀️🚴‍♀️
 
Back
Top Bottom