Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
IMG-20190606-WA0078.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unamvunjia heshima mwenyekiti wa chama cha wagumu 'CHACHAWA'[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Poti ana ugumu wowote nitafukua kaburi alikuwa anatuma maua kwa carba
Cc SHIMBA YA BUYENZE mzee wa data naomba post ya poti anatuma maua kwa Carba
 

dah nilikuwa sijui hii ishu mwenzenu kila ninapotembelewa na mchumba wangu aliyenyoa kipara kama mfuasi wa buddha humuwekea tamthilia za kikorea kumbe wanawake wanachukia tabia hiyo.

basi sawa akija tena namkaribisha chakula, then tutaelekea uwanja wa anfield kupiga mechi huku mtasbihi wangu wa kibudha naupachika juu ya kabati.

Numbisa , Fragaria , Hawachi na wengineo anayoyasema mdogo wenu wa kike yana ukweli wowote?

je wanawake wote munapowatembelea wanaume muwapendao munaongozwa zaidi na upepo wa kufanya sexy na si ziara za kushitukiza kama afanyavyo juma pombe maharage ili uweze kupata kufahamu jinsi mwenza wako anavyoishi?

jamani jamani mbona munataka kutufanya wanaume tugeuke mashetani, nawakumbusha tu mvua hazijaisha mpaka muda huu.
munataka kutuongezea kesi za ubakaji mapema yote haya, juzi waziri mkuu amefungua gereza jipya je habari hiyo munayo?
wacha niendelee kutabasamu kama buddha.​
1119682
 
A Man Called God

A Man Called God (Hangul: 신이라 불리운 사나이; RR: Sinira Beulriun Sanai; also known as The Man Almighty) is a 2010 South Korean television series starring Song Il-gook, Han Chae-young, Kim Min-jong, Han Go-eun and Yoo In-young. It aired on MBC from March 6 to May 23, 2010 on Saturdays and Sundays at 21:45 for 24 episodes.
The ₩10 billion-budget action-romance series is based on the 1999 comic book of the same title by manhwa writer Park Bong-seong.


== Plot ==
Choi Kang-ta is a super agent with a feared reputation who gains powers similar to a god. As a child, he lost his parents and was adopted by an American couple.

_
 

ina maana jay z alikuwa anazidiwa mkwanja na billionea moudgulf ?
si nimesikia jamaa ameuza dhahabu yake kwa billioni moja wiki mbili zilizopita
Hajauza dhahabu, jamaa aliuza almasi kwa dola 1.5m ila siyo mimi mkuu[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom