Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120][emoji120],
Huyu alikuwa kiongozi shupavu, kosa lake ni hilo tu, miaka 41 madarakani bila demokrasi, ni tatizo lake mwenyewe.
Alimuondoa mfalme Idriss, Dunia ilidhani ataweka utaratibu wa kidemokrasi kwenye taifa hilo, haikuwa hivyo hata baada ya miaka 40 ya utawala wake.
Dunia ijifunze hapa, kuwa Kiongozi mzuri peke yake siyo sababu ya wewe kutawala kibabe kwa muda mrefu.
Matatizo wanayoyapitia walibya leo yamechangiwa na Gadafi.
Walibya wangepata nafasi ya kupiga kura kwenye uchaguzi wa haki sidhani kama wangelipuka kiasi kile
Yap
 
Back
Top Bottom