[emoji137]Nimekuja kupokea Eid pili,
Hahah! ndio na Mbuzi mtamrudishia uhai wakeYaani kama liver washachukua watu tumeshachinja mbuzi halafu mnaambiwa mrudishe kombe hahahaa dah inauma sana lakini Ahmed Ahmed CAF boss anatakiwa kuwa na maamuzi magumu final inatakiwa kuwa moja hizi final za nyumbani na ugenini ni majanga hata America kusini janga ni hilo hilo
[emoji19]Hahah! ndio na Mbuzi mtamrudishia uhai wake
Sure final moja tu inatosha mkuu zikiwa mbili na matatizo yanakua mengi
Hahah! Mimi siwezi ila Yegomasika anawezaAlishindwa Daudi,Samson manabii itakuwa wewe hahaha hakuna ugumu hapo