mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
.
Tupo pamoja Agemate, naona unawakilisha vyemaNafurahi kusikia hivyo
[emoji38][emoji38]Tupo pamoja Agemate, naona unawakilisha vyema
[emoji23][emoji23]View attachment 1119585
Hahaha billinea in terms of $![]()
Jay Z amekuwa mwanamuziki wa kwanza bilionea
Siku zote mtu uanza kwa kupima bila kujali atafanikisha au la ongera mr Carter kwa kufika apo ulipo unastahili ongera yani mziki umekufanya uwe tajiri akika ww icon wa mzikiwww.jamiiforums.com
ina maana jay z alikuwa anazidiwa mkwanja na billionea moudgulf ?
si nimesikia jamaa ameuza dhahabu yake kwa billioni moja wiki mbili zilizopita
😛😛😛😛 tupunguzie picha za madini.Hahaha, siye mimi mkuu