mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
.
HahahaHahaha, siye mimi mkuu
Hahaha mkuu muhimu kuyaona na kuyatambua wacha atupie tu😛😛😛😛 tupunguzie picha za madini.
sisi wengine hatujawahi kuyaona madini ya gharama kwa macho
ok nimeelewa kumbe jay z ameshagonga trillioni 1 ya tzHahaha billinea in terms of $
upo sahihi mapicha yanaleta hamasa ya wanaume kuongeza morali ya kutafuta zaidi.Hahaha mkuu muhimu kuyaona na kuyatambua wacha atupie tu
hata wewe kumbe umeona?
ni mwendo wa kudodishiwa mapicha ya almasi na madini mengine tokea saa 6 usiku.
haya bwana mwaka wake huu acha atambe anavyojisikia, sisi wengine tutachipua pindi atakapoondoka yule mzee aliyenunua kunguru watano mpaka muda huu.