Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sibeli Kekilli


Huyu anafahamika sana, alikuwa chakula nzuri ya Tyron Lannister . Lakini kabla hujamuona katika GOT kuanzia miaka ya 2002 mwanadada huyu alikuwa akifahamika katika kiwanda cha uandaaji wa filamu za ngono.
 
Sahara Knights


Alikuwa ni mmoja ya wanafunzi wa Littlefinger katika nyumba ya mfalme kama unamkumbuka vizuri, lakini kabla ya hapo aliwahi kushirika katika filamu za kikubwa zaidi ya 60 akitumia jina hilo hilo kama lilivyoandikwa hapo juu.
 
humu ndani ni full raha no vita no stress.
utakutana na jay z wa tz nadhani ushamfahamu
utakutana na playmaker kila pahali yupo kama ronaldo
utakutana na mmarekani mweusi aliyelelewa tanzania muda wote, cha ajabu kiswahili hajui sana kuliko kiingilishi
utakutana na server, tafdhali andika kwa umakini ili kaburi lisifukuliwe
utakutana na mzee wa coding a.k.a iphone giftii
utakutana na mkorea mweusi, a.k.a mzee wa mautani mengi, kama huwezi utani wake usimpe likes
utakutana na mzee wa poleni wafanyakazi, wazazi, abiria. muda si mrefu atakuja humu ndani kutoa pole.
kuna mmoja ana mwaka mmoja hajaingia humu ndani lakini cha jabu likes zake zinaongezeka, roboti la mbao kutoka kolomijeeee
Kwa mara ya kwanza code imeshindwa kufunguka jamaniii eeee playmaker ni nani uwiii namuonea wivu kisa kafananishwa na ronaldo
 
Maisie Dee


Huyu kwenye GOT utakuwa ulimuona katika msimu wa pili nae akiwa kama mmoja ya wanafunzi katika nyumba ya Littlefinger’ lakini nje ya hapo ni mmoja ya waigizaji maarufu wa mikanda ya ngono.
 
Jessica Jensen


Alionekana katika S03…lakini nje ya uigizaji wake katika GOT kwa nje ni mmoja wa waigizaji wakubwa wa filamu za ngono. Kwa huyu kabla hajawa mcheza filamu za ngono aliwahi kufanya kazi kadhaa kama Uanamitindo ambako hali kwake haikuwa nzuri ndipo alipoamua kutumbukia katika mambo ya ngono.
 
Kwa mara ya kwanza code imeshindwa kufunguka jamaniii eeee playmaker ni nani uwiii namuonea wivu kisa kafananishwa na ronaldo
mhhhhhh siamini kama compiler yako ya kuranisha program imegoma.
hivi kuna mwengine humu ndani zaidi yako mwenye sifa za CR7.
anafunga kwa kichwa, mguu,shingo, mbavu, kiuno.
na ndivyo ulivyo wewe kila eneo upo.
 
Screenshot_20190606-122246~2.jpeg
 
Back
Top Bottom