Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
babe SHello...
babe SHello...
Jambo jema sana maana kipindi kile damu ilikuwa inachemka ndugu yangu yupo kweliEeeh bhana nimeamua kurudi kwenye ndoa yangu
Oohooooo[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Sorry mkuu kwanza nijue jinsia sio uniite mpenz kumbe wewe wa kiume[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Cole Williams [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ana issue my Queen ISIS ni wangu pekeeeNani anakulisha huu ubuyu? We nasikia Cole alikupoteza mazima...ha ha haaa !!!
Hata sijui atatulia lini?Umeitika vizuri,.....ungejua wito huo ni tata.. Lol[emoji12] [emoji12]
Yupo ila kaokoka siku hzJambo jema sana maana kipindi kile damu ilikuwa inachemka ndugu yangu yupo kweli
HahhahaahImagine kama ange-shoot!!!![]()
Kula likes zakoTushirikishane kwenye mtandao
Mzee ujaacha ushilawaduHo Chi Minh naona unaachia mistari tu tena ya neno moja moja. Imemlenga Baby S ama?
I got your back broWakuu. Naingia chimbo sehemu ambayo siruhusiwi kuwa na simu wala kompyuta. Tuonane baada ya masaa sita hivi. I love you guys na muwe na siku njema. Cole please nisaidie kumwangalia shemejiyo dhidi ya mijibaba midowezi ya hapa. Salute!!!
Kula likesPunda amechoka muacheni apumzike
That's good, habari ya hapo ofisiniHahahha imekula pande yake, mm hapa ndio nshafika.
YA LAANASijui kwa nini napenda sana kusoma kuhusu hawa jamaa. Nimeshasoma karibu vitabu vinne mpaka sasa.![]()
Ndio kiongoziMkuu kichwa
Nzuri carbamazepineHabari ya asubuh wapendwa